Mathayo 4
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Chinese Union Version, punctuated (Simplified)
1Kisha Roho alimwongoza Yesu mpaka jangwani ili ajaribiwe na Ibilisi.
1当时,耶稣被 圣 灵引到旷野,受魔鬼的试探。
2Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
2他禁食四十昼夜,后来就饿了。
3Basi, mshawishi akamjia, akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru mawe haya yawe mikate.”
3那试探人的进前来,对他说:「你若是 神的儿子,可以吩咐这些石头变成食物。」
4Yesu akamjibu, “Imeandikwa katika Maandiko Matakatifu: Binadamu hataishi kwa mikate tu, ila kwa kila neno asemalo Mungu.”
4耶稣却回答说:「 经上 记着说: 人活着,不是单靠食物, 乃是靠 神口里所出的一切话。」
5Kisha Ibilisi akamchukua mpaka Yerusalemu, mji mtakatifu, akamweka juu ya mnara wa hekalu,
5魔鬼就带他进了圣城,叫他站在殿顶上,
6akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, jitupe chini; maana imeandikwa: Mungu atawaamuru malaika wake kwa ajili yako; watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.”
6对他说:「你若是 神的儿子,可以跳下去,因为 经上 记着说: 主要为你吩咐他的使者 用手托着你, 免得你的脚碰在石头上。」
7Yesu akamwambia, “Imeandikwa pia: Usimjaribu Bwana, Mungu wako.”
7耶稣对他说:「 经上 又记着说:『不可试探主—你的 神。』」
8Kisha Ibilisi akamchukua mpaka juu ya mlima mrefu, akamwonyesha falme zote za ulimwengu na fahari zake,
8魔鬼又带他上了一座最高的山,将世上的万国与万国的荣华都指给他看,
9akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu.”
9对他说:「你若俯伏拜我,我就把这一切都赐给你。」
10Hapo, Yesu akamwambia, “Nenda zako Shetani! Imeandikwa: Utamwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.”
10耶稣说:「撒但,退去吧!因为 经上 记着说: 当拜主—你的 神, 单要事奉他。」
11Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
11于是,魔鬼离了耶稣,有天使来伺候他。
12Yesu aliposikia kwamba Yohane ametiwa gerezani alikwenda Galilaya.
12耶稣听见 约翰 下了监,就退到 加利利 去;
13Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zabuloni na Naftali, akakaa huko.
13后又离开 拿撒勒 ,往 迦百农 去,就住在那里。那地方靠海,在 西布伦 和 拿弗他利 的边界上。
14Ndivyo lilivyotimia lile neno lililosemwa kwa njia ya nabii Isaya:
14这是要应验先知 以赛亚 的话,
15“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto Yordani, Galilaya nchi ya watu wa Mataifa!
15说: 西布伦 地, 拿弗他利 地, 就是沿海的路, 约旦河 外, 外邦人的 加利利 地—
16Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
16那坐在黑暗里的百姓看见了大光; 坐在死荫之地的人有光发现照着他们。
17Tangu wakati huo Yesu alianza kuhubiri akisema, “Tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia!”
17从那时候,耶稣就传起道来,说:「天国近了,你们应当悔改!」
18Yesu alipokuwa anatembea kando ya ziwa Galilaya, aliwaona ndugu wawili wavuvi; Simoni (aitwae Petro) na Andrea, ndugu yake; walikuwa wakivua samaki kwa nyavu ziwani.
18耶稣在 加利利海 边行走,看见弟兄二人,就是那称呼 彼得 的 西门 和他兄弟 安得烈 ,在海里撒网;他们本是打鱼的。
19Basi, akawaambia, “Nifuateni, nami nitawafanya ninyi wavuvi wa watu.”
19耶稣对他们说:「来跟从我,我要叫你们得人如得鱼一样。」
20Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.
20他们就立刻舍了网,跟从了他。
21Alipokwenda mbele kidogo, aliwaona ndugu wengine wawili: Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo. Hao walikuwa ndani ya mashua pamoja na baba yao Zebedayo, wakitengeneza nyavu zao. Basi Yesu akawaita,
21从那里往前走,又看见弟兄二人,就是 西庇太 的儿子 雅各 和他兄弟 约翰 ,同他们的父亲 西庇太 在船上补网,耶稣就招呼他们,
22nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.
22他们立刻舍了船,别了父亲,跟从了耶稣。
23Yesu alikuwa anakwenda kila mahali wilayani Galilaya, akifundisha katika masunagogi na kuhubiri Habari Njema juu ya ufalme wa Mungu. Aliponya kila namna ya maradhi na magonjwa waliyokuwa nayo watu.
23耶稣走遍 加利利 ,在各会堂里教训人,传天国的福音,医治百姓各样的病症。
24Habari zake zikaenea katika mkoa wote wa Siria. Wagonjwa wote wenye maradhi ya kila namna na wale waliosumbuliwa na kila namna ya taabu: waliopagawa na pepo, wenye kifafa na watu waliokuwa wamelemaa, walipelekwa kwake; naye akawaponya wote.
24他的名声就传遍了 叙利亚 。那里的人把一切害病的,就是害各样疾病、各样疼痛的和被鬼附的、癫痫的、瘫痪的,都带了来,耶稣就治好了他们。
25Makundi mengi ya watu kutoka Galilaya, Dekapoli, Yerusalemu, Yudea na ng'ambo ya mto Yordani, walimfuata.
25当下,有许多人从 加利利 、 低加坡里 、 耶路撒冷 、 犹太 、 约旦河 外来跟着他。
Tip: use the ← and → keys to turn chapters.