马太福音 18
Chinese Union Version, punctuated (Simplified)
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
1当时,门徒进前来,问耶稣说:「天国里谁是最大的?」
1Wakati ule wanafunzi walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Ni nani aliye mkuu katika Ufalme wa mbinguni?”
2耶稣便叫一个小孩子来,使他站在他们当中,
2Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao,
3说:「我实在告诉你们,你们若不回转,变成小孩子的样式,断不得进天国。
3kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika Ufalme wa mbinguni.
4所以,凡自己谦卑像这小孩子的,他在天国里就是最大的。
4Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika Ufalme wa mbinguni.
5凡为我的名接待一个像这小孩子的,就是接待我。」
5Yeyote anayemkaribisha mtoto mmoja kama huyu kwa jina langu, ananikaribisha mimi.
6「凡使这信我的一个小子跌倒的,倒不如把大磨石拴在这人的颈项上,沉在深海里。
6“Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.
7这世界有祸了,因为将人绊倒;绊倒人的事是免不了的,但那绊倒人的有祸了!
7Ole wake ulimwengu kwa sababu ya vikwazo vinavyowaangusha wengine. Vikwazo hivyo ni lazima vitokee lakini ole wake mtu yule atakayevisababisha.
8倘若你一只手,或是一只脚,叫你跌倒,就砍下来丢掉。你缺一只手,或是一只脚,进入永生,强如有两手两脚被丢在永火里。
8“Kama mkono au mguu wako ukikukosesha, ukate na kuutupa mbali nawe. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima bila mkono au mguu, kuliko kutupwa katika moto wa milele ukiwa na mikono miwili na miguu yako miwili.
9倘若你一只眼叫你跌倒,就把它剜出来丢掉。你只有一只眼进入 永 生,强如有两只眼被丢在地狱的火里。」
9Na kama jicho lako likikukosesha, ling'oe na kulitupa mbali nawe. Ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa chongo, kuliko kutupwa katika moto wa Jehanamu ukiwa na macho yako yote mawili.
10「你们要小心,不可轻看这小子里的一个;我告诉你们,他们的使者在天上,常见我天父的面。
10“Jihadharini! Msimdharau mmojawapo wa wadogo hawa. Nawaambieni, malaika wao huko mbinguni wako daima mbele ya Baba yangu aliye mbinguni.
no verse 11 in this text
11Maana Mwana wa Mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.
12一个人若有一百只羊,一只走迷了路,你们的意思如何?他岂不撇下这九十九只,往山里去找那只迷路的羊吗?
12Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, na huenda kumtafuta yule aliyepotea.
13若是找着了,我实在告诉你们,他为这一只羊欢喜,比为那没有迷路的九十九只欢喜还大呢!
13Akimpata, nawaambieni kweli, humfurahia huyo kuliko awafurahiavyo wale tisini na tisa ambao hawakupotea.
14你们在天上的父也是这样,不愿意这小子里失丧一个。」
14Hali kadhalika, Baba yenu wa mbinguni hapendi hata mmoja wa hawa wadogo apotee.
15「倘若你的弟兄得罪你,你就去,趁着只有他和你在一处的时候,指出他的错来。他若听你,你便得了你的弟兄;
15“Ndugu yako akikukosea, mwendee ukamwonye mkiwa ninyi peke yenu. Akikusikia utakuwa umempata ndugu yako.
16他若不听,你就另外带一两个人同去,要凭两三个人的口作见证,句句都可定准。
16Asipokusikia, chukua mtu mmoja au wawili pamoja nawe, ili kwa mawaidha ya mashahidi wawili au watatu, kila tatizo litatuliwe.
17若是不听他们,就告诉教会;若是不听教会,就看他像外邦人和税吏一样。
17Asipowasikia hao, liambie kanisa. Na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua Mungu na watoza ushuru.
18「我实在告诉你们,凡你们在地上所捆绑的,在天上也要捆绑;凡你们在地上所释放的,在天上也要释放。
18“Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni.
19我又告诉你们,若是你们中间有两个人在地上同心合意地求什么事,我在天上的父必为他们成全。
19Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.
20因为无论在哪里,有两三个人奉我的名聚会,那里就有我在他们中间。」
20Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
21那时, 彼得 进前来,对耶稣说:「主啊,我弟兄得罪我,我当饶恕他几次呢?到七次可以吗?」
21Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?”
22耶稣说:「我对你说,不是到七次,乃是到七十个七次。
22Yesu akamjibu, “Sisemi mara saba tu, bali sabini mara saba.
23天国好像一个王要和他仆人算帐。
23Ndiyo maana Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme mmoja aliyeamua kukagua hesabu za watumishi wake.
24才算的时候,有人带了一个欠一千万银子的来。
24Ukaguzi ulipoanza, akaletewa mtu mmoja aliyekuwa na deni la fedha talanta elfu kumi.
25因为他没有什么偿还之物,主人吩咐把他和他妻子儿女,并一切所有的都卖了偿还。
25Mtu huyo hakuwa na chochote cha kulipa; hivyo bwana wake aliamuru wauzwe, yeye, mke wake, watoto wake na vitu vyote alivyokuwa navyo, ili deni lilipwe.
26那仆人就俯伏拜他,说:『主啊,宽容我,将来我都要还清。』
26Basi, huyo mtumishi akapiga magoti mbele yake, akasema, Unisubiri nami nitakulipa deni lote.
27那仆人的主人就动了慈心,把他释放了,并且免了他的债。
27Yule bwana alimwonea huruma, akamsamehe lile deni, akamwacha aende zake.
28「那仆人出来,遇见他的一个同伴欠他十两银子,便揪着他,掐住他的喉咙,说:『你把所欠的还我!』
28“Lakini huyo mtumishi akaondoka, akamkuta mmoja wa watumishi wenzake aliyekuwa na deni lake fedha denari mia moja. Akamkamata, akamkaba koo akisema, Lipa deni lako!
29他的同伴就俯伏央求他,说:『宽容我吧,将来我必还清。』
29Huyo mtumishi mwenzake akapiga magoti, akamwomba, Unisubiri nami nitalipa deni langu lote.
30他不肯,竟去把他下在监里,等他还了所欠的债。
30Lakini yeye hakutaka, bali alimtia gerezani mpaka hapo atakapolipa lile deni.
31众同伴看见他所做的事就甚忧愁,去把这事都告诉了主人。
31“Basi, watumishi wenzake walipoona jambo hilo walisikitika sana, wakaenda kumpasha habari bwana wao juu ya mambo hayo yaliyotukia.
32于是主人叫了他来,对他说:『你这恶奴才!你央求我,我就把你所欠的都免了,
32Hapo yule bwana alimwita huyo mtumishi, akamwambia, Wewe ni mtumishi mbaya sana! Uliniomba, nami nikakusamehe deni lako lote.
33你不应当怜恤你的同伴,像我怜恤你吗?』
33Je, haikukupasa nawe kumhurumia mtumishi mwenzako kama nilivyokuhurumia?
34主人就大怒,把他交给掌刑的,等他还清了所欠的债。
34“Basi, huyo bwana alikasirika sana, akamtoa huyo mtumishi aadhibiwe mpaka hapo atakapolipa deni lote.
35你们各人若不从心里饶恕你的弟兄,我天父也要这样待你们了。」
35Na baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja wenu hatamsamehe ndugu yake kwa moyo wake wote.”
Tip: use the ← and → keys to turn chapters.