马太福音 15
Chinese Union Version, punctuated (Simplified)
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
1那时,有法利赛人和文士从 耶路撒冷 来见耶稣,说:
1Kisha Mafarisayo na walimu wa Sheria wakafika kutoka Yerusalemu, wakamwendea Yesu, wakamwuliza,
2「你的门徒为什么犯古人的遗传呢?因为吃饭的时候,他们不洗手。」
2“Kwa nini wanafunzi wako hawajali mapokeo tuliyopokea kutoka kwa wazee wetu? Hawanawi mikono yao kama ipasavyo kabla ya kula!”
3耶稣回答说:「你们为什么因着你们的遗传犯 神的诫命呢?
3Yesu akawajibu, “Kwa nini nanyi mnapendelea mapokeo yenu wenyewe na hamuijali Sheria ya Mungu?
4神说:『当孝敬父母』;又说:『咒骂父母的,必治死他。』
4Mungu amesema: Waheshimu baba yako na mama yako, na Anayemkashifu baba yake au mama yake, lazima auawe.
5你们倒说:『无论何人对父母说:我所当奉给你的已经作了供献,
5Lakini ninyi mwafundisha ati mtu akiwa na kitu ambacho angeweza kuwasaidia nacho baba au mama yake, lakini akasema: Kitu hiki nimemtolea Mungu,
6他就可以不孝敬父母。』这就是你们借着遗传,废了 神的诫命。
6basi, hapaswi tena kumheshimu baba yake! Ndivyo mnavyodharau neno la Mungu kwa kufuata mafundisho yenu wenyewe.
7假冒为善的人哪, 以赛亚 指着你们说的预言是不错的。他说:
7Enyi wanafiki! Isaya alitabiri sawa kabisa juu yenu:
8这百姓用嘴唇尊敬我, 心却远离我;
8Watu hawa, asema Mungu, huniheshimu kwa maneno tu, lakini mioyoni mwao wako mbali nami.
9他们将人的吩咐当作道理教导人, 所以拜我也是枉然。」
9Kuniabudu kwao hakufai, maana mambo wanayofundisha ni maagizo ya kibinadamu tu.”
10耶稣就叫了众人来,对他们说:「你们要听,也要明白。
10Yesu aliuita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na muelewe!
11入口的不能污秽人,出口的乃能污秽人。」
11Kitu kinachomtia mtu najisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu najisi.”
12当时,门徒进前来对他说:「法利赛人听见这话,不服,你知道吗?」
12Kisha wanafunzi wakamwendea, wakamwambia, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa waliposikia maneno yako?”
13耶稣回答说:「凡栽种的物,若不是我天父栽种的,必要拔出来。
13Lakini yeye akawajibu, “Kila mmea ambao Baba yangu aliye mbinguni hakuupanda, utang'olewa.
14任凭他们吧!他们是瞎眼领路的;若是瞎子领瞎子,两个人都要掉在坑里。」
14Waacheni wenyewe! Wao ni vipofu, viongozi wa vipofu; na kipofu akimwongoza kipofu, wote wawili hutumbukia shimoni.”
15彼得 对耶稣说:「请将这比喻讲给我们听。」
15Petro akadakia, “Tufafanulie huo mfano.”
16耶稣说:「你们到如今还不明白吗?
16Yesu akasema, “Hata nyinyi hamwelewi?
17岂不知凡入口的,是运到肚子里,又落在茅厕里吗?
17Je, hamwelewi kwamba kila kinachoingia kinywani huenda tumboni na baadaye hutupwa nje chooni?
18惟独出口的,是从心里发出来的,这才污秽人。
18Lakini yale yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi.
19因为从心里发出来的,有恶念、凶杀、奸淫、苟合、偷盗、妄证、谤 。
19Maana moyoni hutoka mawazo maovu yanayosababisha uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.
20这都是污秽人的;至于不洗手吃饭,那却不污秽人。」
20Hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi. Lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu najisi.”
21耶稣离开那里,退到 泰尔 、 西顿 的境内去。
21Yesu aliondoka mahali hapo akaenda kukaa katika sehemu za Tiro na Sidoni.
22有一个 迦南 妇人,从那地方出来,喊着说:「主啊, 大卫 的子孙,可怜我!我女儿被鬼附得甚苦。」
22Basi, mama mmoja Mkaanani wa nchi hiyo alimjia, akapaaza sauti: “Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, nionee huruma! Binti yangu anasumbuliwa na pepo.”
23耶稣却一言不答。门徒进前来,求他说:「这妇人在我们后头喊叫,请打发她走吧。」
23Lakini Yesu hakumjibu neno. Basi, wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, “Mwambie aende zake kwa maana anatufuatafuata akipiga kelele.”
24耶稣说:「我奉差遣不过是到 以色列 家迷失的羊那里去。」
24Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”
25那妇人来拜他,说:「主啊,帮助我!」
25Hapo huyo mama akaja, akapiga magoti mbele yake, akasema, “Mheshimiwa, nisaidie.”
26他回答说:「不好拿儿女的饼丢给狗吃。」
26Yesu akamjibu, “Si sawa kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
27妇人说:「主啊,不错;但是狗也吃它主人桌子上掉下来的碎渣儿。」
27Huyo mama akajibu, “Ni kweli, Mheshimiwa; lakini hata mbwa hula makombo yanayoanguka kutoka meza ya bwana wao.”
28耶稣说:「妇人,你的信心是大的!照你所要的,给你成全了吧。」从那时候,她女儿就好了。
28Hapo Yesu akamjibu, “Mama, imani yako ni kubwa; basi, ufanyiwe kama unavyotaka.” Yule binti yake akapona tangu saa hiyo wakati huohuo.
29耶稣离开那地方,来到靠近 加利利 的海边,就上山坐下。
29Yesu alitoka hapo akaenda kando ya ziwa Galilaya, akapanda mlimani, akaketi.
30有许多人到他那里,带着瘸子、瞎子、哑巴、有残疾的,和好些别的病人,都放在他脚前;他就治好了他们。
30Watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye Yesu akawaponya.
31甚至众人都希奇;因为看见哑巴说话,残疾的痊愈,瘸子行走,瞎子看见,他们就归荣耀给 以色列 的 神。
31Umati ule wa watu ulishangaa sana ulipoona bubu wakiongea, waliokuwa wamelemaa wamepona, viwete wakitembea na vipofu wakiona; wakamsifu Mungu wa Israeli.
32耶稣叫门徒来,说:「我怜悯这众人;因为他们同我在这里已经三天,也没有吃的了。我不愿意叫他们饿着回去,恐怕在路上困乏。」
32Basi, Yesu aliwaita wanafunzi wake, akasema, “Nawaonea watu hawa huruma kwa sababu kwa siku tatu wamekuwa nami, wala hawana chakula. Sipendi kuwaacha waende bila kula wasije wakazimia njiani.”
33门徒说:「我们在这野地,哪里有这么多的饼叫这许多人吃饱呢?」
33Wanafunzi wakamwambia, “Hapa tuko nyikani; tutapata wapi chakula cha kuwatosha watu wengi hivi?”
34耶稣说:「你们有多少饼?」他们说:「有七个,还有几条小鱼。」
34Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba na visamaki vichache.”
35他就吩咐众人坐在地上,
35Basi, Yesu akawaamuru watu wakae chini.
36拿着这七个饼和几条鱼,祝谢了,擘开,递给门徒;门徒又递给众人。
36Akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akamshukuru Mungu, akavimega, akawapa wanafunzi, nao wakawagawia watu.
37众人都吃,并且吃饱了,收拾剩下的零碎,装满了七个筐子。
37Wote wakala, wakashiba. Kisha wakakusanya makombo, wakajaza vikapu saba.
38吃的人,除了妇女孩子,共有四千。
38Hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.
39耶稣叫众人散去,就上船,来到 马加丹 的境界。
39Basi, Yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la Magadani.
Tip: use the ← and → keys to turn chapters.