Mathayo
Chapter 22
Biblia Takatifu (Swahili…

Read in

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portionsFreedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)
vs Chamorro: Gospels,…

Compare with

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Freedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)Stop comparing
Aa
Text size
Line width
Verse numbers
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Chamorro: Gospels, Acts and Psalms
1Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano:
1SI Jesus manope ya jacuentuse sija talo y acomparasion sija ilegña,
2“Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
2Y raenon langet, parejo yan un ray, na jafatinas gupot umasagua para y lajiña.
3Basi, akawatuma watumishi kuwaita walioalikwa waje arusini, lakini walioalikwa hawakutaka kufika.
3Ya jatago y tentagoña sija, na ujaagange y manmaconbida gui guipot; lao ti manmalago manmato.
4Akawatuma tena watumishi wengine, akisema, Waambieni wale walioalikwa: karamu yangu iko tayari sasa; fahali wangu na ng'ombe wanono wamekwisha chinjwa; kila kitu ni tayari, njoni arusini.
4Jatago talo palo tentagoña, ilegña: Sangane y manmaconbida: Esta jufamauleg y na taloane, y gajo toro yan y manyomog na gajo, esta manmapuno, ya todo esta listo: fanmamaela gui guipot umasagua.
5Lakini wao hawakujali, wakaenda zao; mmoja shambani kwake, mwingine kwenye shughuli zake,
5Lao sija ti jaatituye, ya manmapos, y uno para y fangualuaña, y otro para y cometsioña.
6na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.
6Y palo macone y tentagoña ya manamamajlao, ya manmapuno.
7Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao.
7Lao y ray ninalalalo; ya jatago y sendaluña sija na ujapuno todo ayo y mamuno sija, ya ujasonggue y siudaña.
8Kisha akawaambia watumishi wake: Karamu ya arusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
8Ayo nae ilegña ni y tentagoña sija: Y guipot umasagua esta listo; lao ayo sija y manmaconbida ti mandigno.
9Basi, nendeni kwenye barabara na wowote wale mtakaowakuta waiteni waje arusini.
9Janao fanmalag y mafapoposgüe na chalan, ya inagange para y guipot umasagua todo y inseda.
10Wale watumishi wakatoka, wakaenda njiani, wakawaleta watu wote, wabaya na wema. Nyumba ya arusi ikajaa wageni.
10Ya manmapos y tentago sija para y chalan, ya janafandaña todo y jasoda, parejo y taelaye yan y mauleg; ya y guipot umasagua bula ni manmaconbida.
11“Mfalme alipoingia kuwaona wageni, akamwona mtu mmoja ambaye hakuvaa mavazi ya arusi.
11Ya anae jumalom y ray para ulie y manmaconbida, jalie güije un taotao na ti minagago ni y magagon gupot.
12Mfalme akamwuliza, Rafiki, umeingiaje hapa bila vazi la arusi? Lakini yeye akakaa kimya.
12Ya ilelegña nu guiya: Amigo, jafa na jumalomjao güine ya taya magagumo magagon gupot? Lao güiya ti cumuentos.
13Hapo mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno.”
13Ayo nae y ray ilegña ni y manmañeñetbe: Gode y adengña, yan y canaeña, ya inchile, ya inyite juyong gui jalom jomjom: ayo nae uguaja tumanges, yan chegcheg nifen.
14Yesu akamaliza kwa kusema, “Wengi wamealikwa, lakini wachache wameteuliwa.”
14Sa megae manmaagang; lao didide manmaayig.
15Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake.
15Ayo nae manmapos y Fariseo sija, ya manacuentuse jafa taemano ninagadon güe ni y cuentosña.
16Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha Herode. Wakamwuliza, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu, na kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote, maana cheo cha mtu si kitu kwako.
16Ya jatago guato guiya güiya y disipuloñija yan iyon Herodes, ilegñija: Maestro, intingo na jago magajetjao, ya mamananagüejao na magajet y chalan Yuus; ya taya unadadaje ni jaye; sa ti uno na guaelaye guiya jago y finaboresen taotao.
17Haya, twambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa Kaisari?”
17Sangane jam nae, jafa jinasosomo? Tunas na infanmanaejam tributo as Sesat, pat aje?
18Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi
18Lao si Jesus jatungo y tinaelayeñija, ya ilegña: Jafa muna intientayo, hipocritas?
19Nionyesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. sarafu ya fedha.
19Fanueyofan ni y salape y tributo. Ya sija machuliegüe un dinario.
20Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?”
20Ayo nae ilegña nu sija: Jaye iyo este na imagen yan y tinigue ni y gaigue gui jiloña?
21Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, mpeni Kaisari yaliyo yake Kaisari, na Mungu yaliyo yake Mungu.”
21Sija ilegñija nu güiya: Iyon Sesat. Ayo nae ilegña nu sija: Nae si Sesat ni iyon Sesat, ya si Yuus ni iyon Yuus.
22Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao.
22Ya anae sija jajungog este na sinangan, ninafanmanman, ya madingo güe ya manmapos.
23Siku hiyo, baadhi ya Masadukayo walimwendea Yesu. Hao ndio wale wasemao kwamba wafu hawafufuki.
23Ayo na jaane, manmato guiya güiya y Saduseo sija, ni y ilegñija na taya quinajulo y manmatae, ya mafaesen güe,
24Basi, wakamwambia, “Mwalimu, Mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie ndugu yake watoto.
24Ylegñija: Maestro, si Moises ilegña, Yaguin jaye na taotao matae ya taya patgonña, y cheluña uasagua yan y asaguaña, ya unacajulo semiya gui cheluña.
25Sasa, hapa petu palikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa kisha akafa bila kujaliwa watoto, akamwachia ndugu yake huyo mke wake mjane.
25Guaja guiya jame siete na lalaje mañelo; ya y finena umasagua ya matae, ya taya patgonña, japolo y asaguaña gui cheluña.
26Ikawa vivyo hivyo kwa ndugu wa pili, na wa tatu, mpaka wa saba.
26Parejoja talo y mina dos, yan y mina tres, asta y mina siete.
27Baada ya ndugu hao wote kufa, akafa pia yule mama.
27Anae munjayan manmatae todosija, matae y palaoan locue.
28Je, siku wafu watakapofufuka mama huyo atakuwa mke wa nani miongoni mwa wale ndugu saba? Maana Wote saba walimwoa.”
28Y quinajulo y manmatae, jaye gui siete ugaeasagua y palaoan? sa todosija maninasagua.
29Yesu akawajibu, “Kweli mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu!
29Ayo nae maninepe as Jesus, ilegña: Manabag jamyo sa ti intingo y Tinigue sija, ni y ninasiñan Yuus.
30Maana wafu watakapofufuliwa hawataoa wala kuolewa, watakuwa kama malaika mbinguni.
30Sa y quinajulo y manmatae, ni manasagua ni umanafanasagua, sa manparejoja yan y angjet sija gui langet.
31Lakini kuhusu suala la wafu kufufuka, hamjasoma yale aliyowaambieni Mungu?
31Ya y quinajulo y manmatae, ada ti intaetae y esta masangan pot si Yuus nu jamyo na ilegña:
32Aliwaambia, Mimi ni Mungu wa Abrahamu, Isaka na Yakobo! Basi, yeye si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai.”
32Guajo si Yuus Abraham, yan si Yuus Ysaac, yan si Yuus Jacob? Ti güiya si Yuus y manmatae, na Yuus y manlâlâlâ.
33Ule umati wa watu uliposikia hivyo ukayastaajabia mafundisho yake.
33Anae majungog este nu y linajyan taotao, ninafanmanman ni y finanagüeña.
34Mafarisayo waliposikia kwamba Yesu alikuwa amewanyamazisha Masadukayo, wakakutana pamoja.
34Lao anae y Fariseo sija majungog na janafanmamatquilo y Saduseo sija, mandaña gui un lugat.
35Mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza Yesu kwa kumjaribu,
35Ya mafaesen güe, uno guiya sija, ni y magas y lay, tinienta güe, ilegña:
36“Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu katika Sheria ya Mose?”
36Maestro, jafa y mas dangculo na tinago gui lay?
37Yesu akamjibu, “Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote.
37Si Jesus ilegña nu güiya: Guaeya y Señot Yuusmo con todo y corasonmo, yan todo y antimo, yan todo y jinasomo.
38Hii ndiyo amri kuu ya kwanza.
38Este y finenana yan y dangculo na tinago.
39Ya pili inafanana na hiyo: Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.
39Ya y mina dos parejoja yan este: Guaeya y tiguangmo parejo yan jago.
40Sheria yote ya Mose na mafundisho ya manabii vinategemea amri hizi mbili.”
40Este y dos na tinago chinileja todo y lay yan y profeta.
41Mafarisayo walipokusanyika pamoja, Yesu aliwauliza,
41Ya enae estaba y Fariseo sija mandadaña, si Jesus manfinaesen sija;
42“Ninyi mwaonaje juu ya Kristo? Je, ni mwana wa nani?” Wakamjibu, “Wa Daudi.”
42Ylegña: Jafa jinasonmiyo as Cristo? jaye gaelaje güe? Sija ilegñija: Lajin David.
43Yesu akawaambia, “Basi, inawezekanaje kwamba kwa nguvu ya Roho Mtakatifu Daudi anamwita yeye Bwana? Maana alisema:
43Güiya ilegña nu sija: Jafa na si David gui Espiritu finanaan güe Señot, ilegña:
44Bwana alimwambia Bwana wangu: keti upande wangu wa kulia, mpaka niwaweke adui zako chini ya miguu yako.
44Y Señot jasangane y Señotjo, fatachong gui agapa na canaejo, asta qui jupolo y enemigumo gui papâ adengmo.
45Basi, ikiwa Daudi anamwita Kristo Bwana, anawezaje kuwa mwanawe?”
45Yaguin si David finanaan güe Señot, jafa taemano lajiña?
46Hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. Na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.
46Ya taya siña ni uno umope güe. Ya desde ayo na jaane taya umatrebe güe para umafaesesen güe ni jafa.

Tip: use the ← and → keys to turn chapters.