Mathayo
Chapter 20
Biblia Takatifu (Swahili…

Read in

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portionsFreedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)
vs Chamorro: Gospels,…

Compare with

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Freedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)Stop comparing
Aa
Text size
Line width
Verse numbers
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Chamorro: Gospels, Acts and Psalms
1“Ufalme wa mbinguni unafanana na mtu mwenye shamba la mizabibu, ambaye alitoka asubuhi na mapema kuwaajiri wafanyakazi katika shamba lake.
1SA y raenon langet parejoja yan un taotao, tatan un familia na jumanao taftaf gui egaan para ufantratos manfáfachocho, para y fangualuanña ubas.
2Akapatana nao kuwalipa dinari moja kwa siku, kisha akawapeleka katika shamba lake la mizabibu.
2Ya anae esta manatungopara ufanmachocho pot un peseta gui un jaane, jatago na ufanmalag y fangualuanña.
3Akatoka mnamo saa tatu asubuhi, akaona watu wengine wamesimama sokoni, hawana kazi.
3Ya y mina tres na ora, jumajanao ya jalile palo na manotojgue gui plasa manaechoco,
4Akawaambia, Nendeni nanyi mkafanye kazi katika shamba la mizabibu, nami nitawapeni haki yenu.
4Ya ilegña nu sija: Janao locu fanmalag y fangualuanjo, ya junae jamyo ni y cabales. Ya manmapos.
5Basi, wakaenda. Huyo mwenye shamba akatoka tena mnamo saa sita na saa tisa, akafanya vivyo hivyo.
5Ya jumanao talo gui mina saes, yan y mina nuebe na ora, ya jafatinasja taegüije.
6Hata mnamo saa kumi na moja jioni, akatoka tena; akakuta watu wengine wamesimama pale sokoni. Basi, akawauliza, Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?
6Jumanao gui mina onse na ora, ya jasoda palo na manaechocho, ya ilegña: Jafa na mañasagaja jamyo güine todo pago na jaane, ya manaechocho jamyo?
7Wakamjibu: Kwa sababu hakuna mtu aliyetuajiri. Yeye akawaambia, Nendeni nanyi mkafanye kazi katika shamba la mizabibu.
7Sija ilegñija nu güiya: Sa tayajam tumatratos. Güiya ilegña nu sija: Janao locue fanmalag y fangualuanjo.
8“Kulipokuchwa, huyo mwenye shamba alimwambia mtunza hazina wake, Waite wafanyakazi ukawalipe mshahara wao, ukianzia na wale walioajiriwa mwisho, na kumalizia na wale wa kwanza.
8Ya anae estaba pupuenge güije na jaane, y magas ni y gaiyo ayo y fangualuan ubas, ilegña nu y magas na tentagoña: Agang todo y manfafachocho, ya unapase ni y chechoñija, tutujon desde y uttimo asta y finenana.
9Basi, wakaja wale walioajiriwa mnamo saa kumi na moja, wakapokea kila mmoja dinari moja.
9Ya anae manmato ayo y jumanao gui mina onse na ora, cada uno jaresibe un peseta.
10Wale wa kwanza walipofika, walikuwa wanadhani watapewa zaidi; lakini hata wao wakapewa kila mmoja dinari moja.
10Anae manmato y jumanao finenana, jinasonñija na ujaresibe mas; lao manparejoja todo siji cada uno jaresibe un peseta.
11Wakazipokea fedha zao, wakaanza kumnung'unikia yule bwana.
11Ya anae jaresibe, ninafanadingan contra y tatan y familia,
12Wakasema, Watu hawa walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa na wao hali sisi tumevumilia kazi ngumu kutwa na jua kali?
12Ilegñija: Este sija y manuttimo, taya chechoñija na un oraja, ya unnafanparejoja yan jame, na jame cumatga y catga yan todo y minaepen y jaane.
13“Hapo yule bwana akamjibu mmoja wao, Rafiki, sikukupunja kitu! Je, hukupatana nami mshahara wa denari moja?
13Güiya jaope uno guiya sija, ilegña: Amigo, taya ti tunas jufatinas nu jago. Ada ti matungo jit pot un peseta?
14Chukua haki yako, uende zako. Napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe.
14Chule y iyomo ya unjanao: guajo malagoyo na junae este y uttimo, parejo yan jago.
15Je, sina haki ya kufanya na mali yangu nipendavyo? Je, unaona kijicho kwa kuwa mimi ni mwema?”
15Ada ti cabales na jufatinas jafa y malagojo ni y iyoco? Pat ada taelaye y atadogmo, sa guajo mauleg?
16Yesu akamaliza kwa kusema, “Hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.”
16Taegüenao y manfinenana ufanuttimo, ya y manuttimo, ufanfinenana.
17Yesu alipokuwa anakwenda Yerusalemu, aliwachukua wale wanafunzi kumi na wawili faraghani, na njiani akawaambia,
17Ya anae si Jesus cajulo guiya Jerusalem, jacone y dose na disipoluña gui sumajnge ya ilegña nu sija gui chalan:
18“Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa Sheria, nao watamhukumu auawe.
18Estagüijit na mangajulo guiya Jerusalem, ya y Lajin taotao umaentrega gui magas na mamale sija, yan escriba sija; ya umasentensia para umapuno;
19Watamkabidhi kwa watu wa mataifa mengine ili adhihakiwe, apigwe viboko na kusulubiwa; lakini siku ya tatu atafufuliwa.”
19Ya umaentrega gui Gentiles sija, para umabutlea, yan umasaulag, yan umaatane gui quiluus; lao y mina tres na jaane umacajulo.
20Hapo mama yao wana wa Zebedayo alimjia Yesu pamoja na wanawe, akapiga magoti mbele yake na kumwomba kitu.
20Ayo nae manmato guiya güiya y nanan y famaguon Sebedeo, yan y famaguonña, ya maadora güe, ya manmangagagao ni un güinaja.
21Yesu akamwuliza, “Unataka nini?” Huyo mama akamwambia, “Ahidi kwamba katika Ufalme wako, hawa wanangu wawili watakaa mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto.”
21Ya ilegña nu güiya: Jafa malagomo? Y palaoan ilegña nu güiya: Tago este y dos lajijo ya ufatachong, y uno gui agapa na canaemo, ya y otro gui acagüemo, gui raenomo.
22Yesu akajibu, “Hamjui mnaomba nini. Je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa mimi?” Wakamjibu, “Tunaweza.”
22Ayo nae inepe as Jesus ilegña: Ti untungo jafa mangagao. Siñajamyo gumimen gui copa anae gumiguimenyo? Sija ilegñija, siñajam.
23Yesu akawaambia, “Kweli mtakunywa kikombe changu, lakini kuketi kulia au kushoto kwangu si kazi yangu kupanga; jambo hilo watapewa wale waliowekewa tayari na Baba yangu.”
23Güiya ilegña nu sija: Magajet na infanguimen gui copajo; lao infanmatachong gui agapa na canaejo pat y acagüe, ti guajo jufannae, na para ayo sija y esta manmaprepara pot y Tatajo.
24Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, wakawakasirikia hao ndugu wawili.
24Ya anae majungog este ni y dies, ninafanbubo nu y dos chumelo.
25Hivyo Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba watawala wa mataifa hutawala watu wao kwa mabavu na wakuu hao huwamiliki watu wao.
25Ayo nae si Jesus, inagang sija guiya güiya ya ilegña: Intingo na y magas y taotaojuyong sija, manmamanda gui jiloñija; ya mandangculo jafatinas ninasiñanñija gui jiloñija.
26Lakini kwenu isiwe hivyo, ila yeyote anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;
26Lao ti utaegüine guiya jamyo; ya jayeja y malago dumangculo gui entalonmiyo, güiya ministronmiyo.
27na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.
27Ya y malago ufinenana gui entaloñmiyo, güiya tentagonmiyo.
28Jinsi hiyohiyo, Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, bali kutumikia na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi.”
28Sa y Lajin taotao, ti mato para umasetbe, na para ufañetbe, ya para ufannae y jaaniña un rescata para unafanlibre megae.
29Yesu alipokuwa anaondoka mjini Yeriko, umati wa watu ulimfuata.
29Ya anae manjanao sija guiya Jerico, madalalague güe dangculo na linajyan taotao.
30Basi, kulikuwa na vipofu wawili wameketi kando ya njia, na waliposikia kwamba Yesu alikuwa anapitia hapo, walipaaza sauti: “Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
30Ya estagüe dos bachet na matatachong gui oriyan chalan, ya anae jajungog na para ufalofan si Jesus, managang, ilegñija: Señot, Lajin David, gaease nu jame.
31Ule umati wa watu ukawakemea na kuwaambia wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaaza sauti: “Mheshimiwa, Mwana wa Daudi, utuhurumie!”
31Ya y linajyan taotao, manlinalatde, para ufanmamatquilo: lao sija mas managang, ilegñija: Señot, Lajin David, gaease nu jame.
32Yesu akasimama, akawaita na kuwauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
32Ya sumaga si Jesus, ya maninagang, ilegña: Jafa malagomiyo na jufatinas para jamyo?
33Wakamjibu, “Mheshimiwa, tunaomba macho yetu yafumbuliwe.”
33Ylegñija: Señot, y atadogmame umababa.
34Basi, Yesu akawaonea huruma, akawagusa macho yao, na papo hapo wakaweza kuona, wakamfuata.
34Ayo nae si Jesus ninamaase, ya japacha y atadogñija, ya manmanlie y atadogñija, ya madalalague güe.

Tip: use the ← and → keys to turn chapters.