Mathayo
Chapter 14
Biblia Takatifu (Swahili…

Read in

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portionsFreedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)
vs Chamorro: Gospels,…

Compare with

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Freedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)Stop comparing
Aa
Text size
Line width
Verse numbers
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Chamorro: Gospels, Acts and Psalms
1Wakati huo, mtawala Herode alisikia sifa za Yesu.
1AYO na tiempo si Herodes y tetrarca jajungog y faman Jesus;
2Basi, akawaambia watumishi wake, “Mtu huyu ni Yohane mbatizaji, amefufuka kutoka wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake.”
2Ya ilegña nu y tentagoña sija: Este si Juan Bautista: güiya cajulo gui entalo y manmatae, enao mina mandangculo na mannamanman jafatitinas guiya güiya.
3Herode ndiye aliyekuwa amemtia Yohane nguvuni, akamfunga minyororo na kumtia gerezani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, ndugu yake. Sababu hasa ni
3Sa si Herodes esta jacone si Juan, ya jagode, ya japolo gui calaboso, pot si Herodias, asaguan Felipe y cheluña.
4kwamba alikuwa amemwambia Herode, “Si halali kwako kuishi na huyo mwanamke!”
4Sa si Juan ilegña nu güiya: Ti tunas na un guaja jao nu este na palaoan.
5Herode alitaka kumwua Yohane, lakini aliogopa watu kwa sababu kwao Yohane alikuwa nabii.
5Ya anae malago na upinino güe, maañao ni y linajyan taotao; sa pineloñija na si Juan profeta güe.
6Katika sherehe za sikukuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti ya Herodia alicheza mbele ya wageni. Herode alifurahiwa,
6Ya anae mato y jaanin y mafañagon Herodes, y jagan Herodias bumaela gui talo, ya ninamagof si Herodes,
7hata akaahidi kwa kiapo kumpa huyo msichana chochote atakachoomba.
7Ya pot este japromete ya manjula na uninae todo y guinagaoña.
8Naye, huku akichochewa na mama yake, akaomba, “Nipe papahapa katika sinia kichwa cha Yohane mbatizaji.”
8Ya güiya guinin umatungo finena an nanaña, ya ilegña: Naeyo güine gui un plato ni y ilon Juan Bautista.
9Mfalme alihuzunika, lakini kwa sababu ya kile kiapo chake na kwa sababu ya wale wageni karamuni, akaamuru apewe.
9Ayo nae y ray ninatriste; lao pot causa y juramentoña yan y mangachongña na mangaegue gui lamasa, manago na umanae.
10Basi, Herode akatuma mtu gerezani amkate kichwa Yohane.
10Ya, manago na umautot y ilon Juan gui calaboso.
11Kichwa chake kikaletwa katika sinia, wakampa yule msichana, naye akampelekea mama yake.
11Ya machule guato y ilo gui un plato, ya manae y patgon palaoan, ya güiya chumule para si nanaña.
12Wanafunzi wa Yohane wakaja, wakauchukua mwili wake, wakauzika. Kisha wakaenda kumpasha habari Yesu.
12Ya y disipuluña sija, manmato ya machule y tataotaoña, ya majafot, ya manmapos, ya masangane si Jesus.
13Yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.
13Ya anae jajungog este si Jesus, mapos güije gui un batco para y desierto na lugat na sumajnge: ya anae majungog ni y linajyan taotao sija, madalalague güe, manmamocatja desde siuda sija.
14Basi, aliposhuka pwani, aliona umati mkubwa wa watu, akawaonea huruma, akawaponya wagonjwa wao.
14Ya jumanao si Jesus, ya jalie y dangculo na linajyan taotao: ya ninamaase ni ayo sija, ya janafanjomlo y manmalango sija.
15Kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na saa zimepita. Basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula.”
15Ya anae estaba pupnenge güije na jaane, manmato guiya güiya y disipuluña sija ya ilegñija; Este na lugat desierto ya y tiempo esta ufalofan; tago y linajyan taotao ya ufanjanao, ya ufanmalag y sengsong sija, ya ufanmamajan nañija.
16Yesu akawaambia, “Si lazima waende, wapeni ninyi chakula.”
16Lao si Jesus ilegña nu sija: Taya nesesida na sija ufanjanao: jamyo innae nañija.
17Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”
17Sija ilegñija nu güiya: Taya güine guaja na sincoja na pan, ya dos na güijan.
18Yesu akawaambia, “Nileteeni hapa.”
18Güiya ilegña: Chulieyofan güine mague.
19Akawaamuru watu waketi katika nyasi. Kisha akaitwaa ile mikate mitano na wale samaki wawili, akatazama juu mbinguni, akamshukuru Mungu. Halafu akaimega hiyo mikate, akawapa wanafunzi wake, nao wakawapa watu.
19Ya jatago y linajyan taotao na ufanmatachong gui jilo chaguan, jachule y sinco na pan yan dos na güijan ya jaatan julo y langet, ya jabendise: ya jaipe y pan ya janae y disipulo sija, ya y disipulo janae y linajyan taotao.
20Watu wote wakala, wakashiba. Kisha wanafunzi wakakusanya mabaki, wakajaza vikapu kumi na viwili.
20Ya mañocho todos, ya manjaspog; ya anae majoca y sebblan pedaso sija na maipe, bula dose na canastra.
21Jumla ya waliokula ilikuwa wanaume wapatao elfu tano, bila kuhesabu wanawake na watoto.
21Ya y mañocho sija, sinco mit na lalaje, ti matufong y famalaoan yan y famaguon.
22Mara, Yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie ng'ambo ya ziwa wakati yeye anawaaga watu.
22Enseguidas si Jesus janafanjalom y disipuluña sija gui un batco, ya manjanao manmofona, manmalag y otro bandan sadog, y tiempo nae güiya janafanjanao y linajyan taotao.
23Baada ya kuwaaga, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake,
23Ya anae munjayan jadespide y linajyan taotao, cajulo gui un ogso na sumajnge, ya manaetae. Ya estaba gui puenge, ya sumasaga güigüiyaja namaesa.
24na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.
24Lao y batco pago estaba gui talo gui tase, pinapada ni napo, sa y manglo contra.
25Usiku, karibu na mapambazuko, Yesu aliwaendea wanafunzi akitembea juu ya maji.
25Ya y mina cuatro na guatdia gui puenge, si Jesus jumanao para iyasija mamomocat gui jilo tase.
26Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliingiwa na hofu, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga kelele kwa hofu.
26Ya anae malie ni disipuluña sija na mamomocat gui jilo tase, ninafañatsaga, ya ilegñija: Fafañagüe este; ya managang ni y minaañaoñija.
27Mara, Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
27Enseguidas si Jesus cumuentos, ilegña nu sija: Angoco jamyo; guajoyo; chamiyo fanmaaañao.
28Petro akamwambia, “Bwana, ikiwa ni wewe kweli, amuru nitembee juu ya maji nije kwako.”
28Ayo nae manope si Pedro ilegña: Señot, yaguin jago, tago yo ya jufalag iyajago gui jilo janom.
29Yesu akasema, “Haya, njoo.” Basi, Petro akashuka kutoka ile mashua, akatembea juu ya maji, akamwendea Yesu.
29Güiya ilegña: Maela. Ya tumunog si Pedro gui batco, ya mamocat gui jilo janom para uguaguato gui as Jesus.
30Lakini alipouona ule upepo, aliogopa, akaanza kuzama; akalia kwa sauti, “Bwana, niokoe!”
30Lao anae jalie na dangculo na manglo, ninamaañao; ya anae jatutujon dimafondo, jaagang, ilegña: Señot, nalibreyo.
31Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”
31Ya enseguidas si Jesus jajuto mona y canaeña, ya guiniut güe, ya ilegña nu güiya: Taotao na didide jinengguemo! Sa jafa ti unjonggue?
32Basi, wakapanda mashuani, na upepo ukatulia.
32Ya anae manjalom julo gui batco, y manglo quieto.
33Wote waliokuwa ndani ya mashua walimsujudia, wakasema, “Hakika wewe ni Mwana wa Mungu.”
33Ayo nae y mangaegue gui batco, maadora güe ilegñija: Magajet na jago Lajin Yuus.
34Walivuka ziwa, wakafika nchi ya Genesareti.
34Ya anae manmalofan gui tase, manmato gui tano Genesaret.
35Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote,
35Ya y taotao ayo na lugat anae matungo güe, manmanago y oriyan todo ayo na tano, na umacone guato todo y manmalango.
36wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake; wote waliomgusa walipona.
36Ya magagao güe na upolo na umapacha y madobbla y magaguña; ya todo y pumacha güe, guefjomlo sija.

Tip: use the ← and → keys to turn chapters.