Luka 11
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Chinese Union Version, punctuated (Simplified)
1Siku moja, Yesu alikuwa mahali fulani akisali. Alipomaliza kusali, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, “Bwana, tunakuomba utufundishe kusali kama Yohane mbatizaji alivyowafundisha wanafunzi wake.”
1耶稣在一个地方祷告;祷告完了,有个门徒对他说:「求主教导我们祷告,像 约翰 教导他的门徒。」
2Yesu akawaambia, “Mnaposali, semeni: Baba! Jina lako litukuzwe; Ufalme wako ufike.
2耶稣说:「你们祷告的时候,要说: 我们在天上的父: 愿人都尊你的名为圣。 愿你的国降临; 愿你的旨意行在地上, 如同行在天上。
3Utupe daima chakula chetu cha kila siku.
3我们日用的饮食, 天天赐给我们。
4Utusamehe dhambi zetu, maana sisi tunawasamehe wote waliotukosea; wala usitutie katika majaribu.”
4赦免我们的罪, 因为我们也赦免凡亏欠我们的人。 不叫我们遇见试探; 救我们脱离凶恶。」
5Kisha akawaambia, “Tuseme mmoja wenu anaye rafiki, akaenda kwake usiku wa manane, akamwambia: Rafiki, tafadhali niazime mikate mitatu,
5耶稣又说:「你们中间谁有一个朋友半夜到他那里去,说:『朋友!请借给我三个饼;
6kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.
6因为我有一个朋友行路,来到我这里,我没有什么给他摆上。』
7Naye, akiwa ndani angemjibu: Usinisumbue! Nimekwisha funga mlango. Mimi na watoto wangu tumelala; siwezi kuamka nikupe!
7那人在里面回答说:『不要搅扰我,门已经关闭,孩子们也同我在床上了,我不能起来给你。』
8Hakika, ingawa hataamka ampe kwa sababu yeye ni rafiki yake, lakini, kwa sababu ya huyo mtu kuendelea kumwomba, ataamka ampe chochote anachohitaji.
8我告诉你们,虽不因他是朋友起来给他,但因他情词迫切地直求,就必起来照他所需用的给他。
9Kwa hiyo, ombeni, nanyi mtapewa, tafuteni, nanyi mtapata, bisheni nanyi mtafunguliwa.
9我又告诉你们,你们祈求,就给你们;寻找,就寻见;叩门,就给你们开门。
10Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye hufunguliwa.
10因为,凡祈求的,就得着;寻找的,就寻见;叩门的,就给他开门。
11Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki?
11你们中间作父亲的,谁有儿子求饼,反给他石头呢?求鱼,反拿蛇当鱼给他呢?
12Na kama akimwomba yai, je, atampa ng'e?
12求 鸡 蛋,反给他蝎子呢?
13Ninyi, ingawa ni waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri. Basi, baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi; atawapa Roho Mtakatifu wale wanaomwomba.”
13你们虽然不好,尚且知道拿好东西给儿女;何况天父,岂不更将圣灵给求他的人吗?」
14Siku moja Yesu alikuwa anamfukuza pepo aliyemfanya mtu mmoja kuwa bubu. Basi, huyo pepo alipomtoka, yule mtu akaweza kuongea hata umati wa watu ukashangaa.
14耶稣赶出一个叫人哑巴的鬼;鬼出去了,哑巴就说出话来;众人都希奇。
15Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anamfukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
15内中却有人说:「他是靠着鬼王别西卜赶鬼。」
16Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
16又有人试探耶稣,向他求从天上来的神迹。
17Lakini yeye, akiwa anayajua mawazo yao, akawaambia, “Ufalme wowote uliofarakana wenyewe, hauwezi kudumu; kadhalika, jamaa yeyote inayofarakana huangamia.
17他晓得他们的意念,便对他们说:「凡一国自相纷争,就成为荒场;凡一家自相纷争,就必败落。
18Kama Shetani anajipinga mwenyewe, utawala wake utasimamaje? Mnasemaje, basi, kwamba ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli?
18若撒但自相纷争,他的国怎能站得住呢?因为你们说我是靠着别西卜赶鬼。
19Kama ninafukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, watoto wenu huwafukuza kwa uwezo wa nani? Kwa sababu hiyo, wao ndio watakaowahukumu ninyi.
19我若靠着别西卜赶鬼,你们的子弟赶鬼又靠着谁呢?这样,他们就要断定你们的是非。
20Lakini ikiwa ninawafukuza pepo kwa uwezo wa Mungu, basi jueni kwamba Ufalme wa Mungu umekwisha fika kwenu.
20我若靠着 神的能力赶鬼,这就是 神的国临到你们了。
21“Mtu mwenye nguvu anapolinda jumba lake kwa silaha, mali yake yote iko salama.
21壮士披挂整齐,看守自己的住宅,他所有的都平安无事;
22Lakini akija mwenye nguvu zaidi akamshambulia na kumshinda, huyo huziteka silaha zake alizotegemea na kugawanya nyara.
22但有一个比他更壮的来,胜过他,就夺去他所倚靠的盔甲兵器,又分了他的赃。
23Yeyote asiyejiunga nami, ananipinga; na yeyote asiyekusanya pamoja nami, hutawanya.
23不与我相合的,就是敌我的;不同我收聚的,就是分散的。」
24“Pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu fulani, huzururazurura jangwani akitafuta mahali pa kupumzikia. Asipopata, hujisemea: Nitarudi kwenye makao yangu nilikotoka.
24「污鬼离了人身,就在无水之地过来过去,寻求安歇 之处 ;既寻不着,便说:『我要回到我所出来的屋里去。』
25Anaporudi, huikuta ile nyumba imefagiwa na kupambwa.
25到了,就看见 里面 打扫干净,修饰好了,
26Basi, huenda na kuwachukua pepo wengine saba waovu zaidi kuliko yeye; wote huenda na kumwingia mtu yule. Hivyo, basi hali ya mtu huyo sasa huwa mbaya zaidi kuliko pale mwanzo.”
26便去另带了七个比自己更恶的鬼来,都进去住在那里。那人末后的景况比先前更不好了。」
27Alipokuwa akisema hayo, mwanamke mmoja katika lile kundi la watu, akasema kwa sauti kubwa: “Heri tumbo lililokuzaa, na maziwa yaliyokunyonyesha!”
27耶稣正说这话的时候,众人中间有一个女人大声说:「怀你胎的和乳养你的有福了!」
28Lakini Yesu akasema, “Lakini heri zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika.”
28耶稣说:「是,却还不如听 神之道而遵守的人有福。」
29Umati wa watu ulipozidi kuongezeka, Yesu akawaambia, “Kizazi hiki ni kizazi kiovu. Kinataka ishara, lakini hakitapewa ishara yoyote isipokuwa ile ya Yona.
29当众人聚集的时候,耶稣开讲说:「这世代是一个邪恶的世代。他们求看神迹,除了 约拿 的神迹以外,再没有神迹给他们看。
30Jinsi Yona alivyokuwa ishara kwa watu wa Ninewi, ndivyo pia Mwana wa Mtu atakavyokuwa ishara kwa kizazi hiki.
30约拿 怎样为 尼尼微 人成了神迹,人子也要照样为这世代的人成了神迹。
31Malkia wa kusini atatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, naye atashuhudia kwamba kina hatia. Yeye alisafiri kutoka mbali, akaja kusikiliza maneno ya hekima ya Solomoni; kumbe hapa pana mkuu zaidi kuliko Solomoni.
31当审判的时候,南方的女王要起来定这世代的罪;因为她从地极而来,要听 所罗门 的智慧话。看哪,在这里有一人比 所罗门 更大。
32Watu wa Ninewi watatokea wakati kizazi hiki kitakapohukumiwa, na watashuhudia kwamba kizazi hiki kina hatia. Hao watu wa Ninewi walitubu kwa sababu ya mahubiri ya Yona; na hapa pana mkuu zaidi kuliko Yona!
32当审判的时候, 尼尼微 人要起来定这世代的罪,因为 尼尼微 人听了 约拿 所传的就悔改了。看哪,在这里有一人比 约拿 更大。」
33“Hakuna mtu anayewasha taa na kuifunika kwa pishi, bali huiweka juu ya kinara ili watu wanaoingia ndani wapate kuona mwanga.
33「没有人点灯放在地窨子里,或是斗底下,总是放在灯台上,使进来的人得见亮光。
34Jicho lako ni kama taa ya mwili wako; likiwa zima, mwili wako wote utakuwa katika mwanga. Jicho lako likiwa bovu, na mwili wako pia utakuwa katika giza.
34你眼睛就是身上的灯。你的眼睛若了亮,全身就光明;眼睛若昏花,全身就黑暗。
35Uwe mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.
35所以,你要省察,恐怕你里头的光或者黑暗了。
36Basi, kama mwili wako wote una mwanga, bila kuwa na sehemu yoyote yenye giza, mwili huo utang'aa kikamilifu kama vile taa inavyokuangazia kwa mwanga wake.”
36若是你全身光明,毫无黑暗,就必全然光明,如同灯的明光照亮你。」
37Yesu alipokuwa akiongea, Mfarisayo mmoja alimkaribisha chakula nyumbani kwake, naye akaenda, akaketi kula chakula.
37说话的时候,有一个法利赛人请耶稣同他吃饭,耶稣就进去坐席。
38Huyo Mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.
38这法利赛人看见耶稣饭前不洗 手 便诧异。
39Bwana akamwambia, “Ninyi Mafarisayo huosha kikombe na sahani kwa nje, lakini ndani mmejaa udhalimu na uovu.
39主对他说:「如今你们法利赛人洗净杯盘的外面,你们里面却满了勒索和邪恶。
40Wapumbavu ninyi! Je, aliyetengeneza nje si ndiye aliyetengeneza ndani pia?
40无知的人哪,造外面的,不也造里面吗?
41Toeni kwa maskini vile vitu vilivyomo ndani, na vingine vyote vitakuwa halali kwenu.
41只要把里面的施舍给人,凡物于你们就都洁净了。
42“Lakini ole wenu Mafarisayo, kwa sababu mnatoza watu zaka hata juu ya majani ya kukolezea chakula, mchicha na majani mengine, na huku hamjali juu ya haki na upendo kwa Mungu. Mambo haya iliwapasa muwe mmeyazingatia bila kuyasahau yale mengine.
42「你们法利赛人有祸了!因为你们将薄荷、芸香并各样菜蔬献上十分之一,那公义和爱 神的事反倒不行了。这原是你们当行的;那也是不可不行的。
43“Ole wenu ninyi Mafarisayo, kwa sababu mnapenda kuketi mbele mahali pa heshima katika masunagogi, na kusalimiwa kwa heshima hadharani.
43你们法利赛人有祸了!因为你们喜爱会堂里的首位,又喜爱人在街市上问你们的安。
44Ole wenu, kwa sababu mko kama makaburi yaliyofichika; watu hutembea juu yake bila kufahamu.”
44你们有祸了!因为你们如同不显露的坟墓,走在上面的人并不知道。」
45Mmoja wa walimu wa Sheria akamwambia, “Mwalimu, maneno yako yanatukashifu na sisi pia.”
45律法师中有一个回答耶稣说:「夫子!你这样说也把我们糟蹋了。」
46Yesu akamjibu, “Na ninyi walimu wa Sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku ninyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia.
46耶稣说:「你们律法师也有祸了!因为你们把难担的担子放在人身上,自己一个指头却不肯动。
47Ole wenu, kwa kuwa mnajenga makaburi ya manabii wale ambao wazee wenu waliwaua.
47你们有祸了!因为你们修造先知的坟墓,那先知正是你们的祖宗所杀的。
48Kwa hiyo mnashuhudia na kukubaliana na matendo ya wazee wenu; maana wao waliwaua hao manabii, nanyi mnajenga makaburi yao.
48可见你们祖宗所做的事,你们又证明又喜欢;因为他们杀了先知,你们修造 先知的坟墓 。
49Kwa hiyo, Hekima ya Mungu ilisema hivi: Nitawapelekea manabii na mitume, lakini watawaua baadhi yao, na kuwatesa wengine.
49所以 神用智慧曾说:『我要差遣先知和使徒到他们那里去,有的他们要杀害,有的他们要逼迫』,
50Matokeo yake ni kwamba kizazi hiki kitaadhibiwa kwa sababu ya damu ya manabii wote iliyomwagika tangu mwanzo wa ulimwengu;
50使创世以来所流众先知血的罪都要问在这世代的人身上,
51tangu kumwagwa damu ya Abeli mpaka kifo cha Zakariya ambaye walimuua kati ya madhabahu na mahali patakatifu. Naam, hakika kizazi hiki kitaadhibiwa kwa matendo haya.
51就是从 亚伯 的血起,直到被杀在坛和殿中间 撒迦利亚 的血为止。我实在告诉你们,这都要问在这世代的人身上。
52“Ole wenu ninyi walimu wa Sheria, kwa sababu mmeuficha ule ufunguo wa mlango wa elimu; ninyi wenyewe hamkuingia na mmewazuia waliokuwa wanaingia wasiingie.”
52你们律法师有祸了!因为你们把知识的钥匙夺了去,自己不进去,正要进去的人你们也阻挡他们。」
53Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na walimu wa Sheria wakaanza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi
53耶稣从那里出来,文士和法利赛人就极力地催逼他,引动他多说话,
54ili wapate kumnasa kwa maneno yake.
54私下窥听,要拿他的话柄。
Tip: use the ← and → keys to turn chapters.