Marko 10
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
Meriam Mir Gospels
1Yesu alitoka hapo akaenda mkoani Yudea na hata ng'ambo ya mto Yordani. Umati wa watu ukamwendea tena, naye akawafundisha tena kama ilivyokuwa desturi yake.
1E ab gedelam tekue, a bakeam Iudaia nener ge abele Ioridano apek; iako gaire le netat gedim abim; E uiabi ereuerem, mokakalam abara tonar.
2Basi, Mafarisayo wakamwendea, na kwa kumjaribu wakamwuliza, “Je, ni halali mtu kumpa talaka mkewe?”
2Faresaio giz tabakeuare, a uiaba abi eutumer, kega, Nako, gelar nagri nerute le abara kosker dituaki? Uiabi abi mirem.
3Yesu akawajibu, “Mose aliwapa maagizo gani?”
3Ege E uiabi detaut kega, Nako Mose uabi mer tigri?
4Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
4Uiaba detager, kega, Mose de emarida ko jauali detali, epe kosker dituaki.
5Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
5Iesu uiabi detaut, kega, E detali abele gelar abelelam uaba nerkep kelarkelar.
6Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, Mungu aliumba mwanamume na mwanamke.
6Emeret ditimeda gaire lu detagem, Ade uiaba detagem kimiar, a kosker.
7Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe,
7Abelelam, kimiar abara aba a apu dekaerti, a abara kosker ekpi;
8nao wawili watakuwa mwili mmoja. Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja.
8Uiaba neis le netat gem; iako nole neis gem, epe netat gem.
9Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asitenganishe.”
9Abelelam, Ade de daratkaprida, nole le atakeamur kak.
10Walipoingia tena ndani ya nyumba, wanafunzi wake walimwuliza juu ya jambo hilo.
10Muige meta, abara kaimeg giz iako abi eutumer tonar abele mer.
11Naye akawaambia, “Anayemwacha mkewe na kuoa mwingine, anazini dhidi ya mkewe.
11E uiabi detagereda, kega, Ese kimiar abara kosker dituaki, a ko nerute tegared, E abi kogem:
12Na mwanamke anayemwacha mumewe na kuolewa na mwingine anazini.”
12Ese kosker abara kimiar dituaki, iako nerute tegared, E kogem.
13Watu walimletea Yesu watoto wadogo ili awaguse, lakini wanafunzi wakawakemea.
13Uiaba gaire kebile abim tegardare, ueakai E uiabi itut; abara kaimeg giz uiaba gaire le tegardare daisumdarare.
14Yesu alipoona hivyo, alikasirika akawaambia, “Waacheni hao watoto waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni kwa ajili ya watu walio kama watoto hawa.
14Iesu dasmer, abara nerkep asiasi, E uiabim detagereda, kega, Kebi omasker karim taramarkare, nole uiabi aisumdar kak; abelelam, Ade ra baselaia uiabi koreb.
15Nawaambieni kweli, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo hataingia katika Ufalme huo.”
15Ageakar, kaka uabi detagereda, kega, Ese nerute le Ade ra baselaia nole erpei kak mokakalam kebile, E nole abele ge badare.
16Kisha akawapokea watoto hao, akawawekea mikono, akawabariki.
16E uiabi egared, a abara tag uiabi tumge ikedi, a debe mer uiabim.
17Yesu alipoanza tena safari yake, mtu mmoja alimjia mbio, akapiga magoti mbele yake, akamwuliza, “Mwalimu mwema, nifanyeje ili niupate uzima wa milele?”
17Iesu gab ge ekasered, nerute le kei koreder temerida, a abim kokomam, a abim eutumer, kega, Debe Kole ae, nalu kara dorge ikeli ueakai kaka nagri eded aseamur kak?
18Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila Mungu peke yake.
18Iesu abi detager, kega, Nako ma nagali kaka debele? nole nerute debele, epe Ade tepteb.
19Unazijua amri: Usizini; Usiue; Usiibe; Usitoe ushahidi wa uongo; Usidanganye; Waheshimu baba na mama yako.”
19Mama gelar giz umele, kega, Ma nole ipit eumilu; Ma nole ko kak; Ma nole eruam kak; Ma nole bes mer nerute le ataut kak; Ma nole nerute le okardar kak; Ma mamoro mara aba a apu naospereie.
20Naye akamjibu, “Mwalimu, hayo yote nimeyazingatia tangu ujana wangu.”
20E Iesuim detuat, kega, Kole, kaka emetu irmili abele gaire lu kebi ueremlam.
21Yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, “Umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.”
21Iesu abi dasmer, a abi omare, a abi detager, kega, Netate lu ma nolea; bakeamu, a mabara lu terapei, a gaire le lu kak nakuarare, iako mara lu nagri kotor ge; a tabakeam satauro ekadar, a kari narmili.
22Aliposikia hayo, alisikitika, akaenda zake akiwa na huzuni, kwa maana alikuwa na mali nyingi.
22Abara nerkep beber abele merlam, a E ezoli bakeamuda; abelelam E lu giz ra apu.
23Yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, “Jinsi gani itakavyokuwa vigumu kwa matajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu!”
23Iesu dasmer deraueili, a abara kaimeg giz detagereda, kega, Au sagim lu giz ra apu ko barot Ade ra baselaia!
24Wanafunzi walishangazwa na maneno yake. Yesu akawaambia tena, “Watoto wangu, ni vigumu sana kuingia katika Ufalme wa Mungu!
24Abara kaimeg giz au geum abele abara merlam. Iesu iako uiabi detagereda, kega, Kara omasker, au sagim gaire le lu lag Ade ra baselaia barot!
25Ni rahisi zaidi ngamia kupenya katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika Ufalme wa Mungu.”
25Kamela norgor ko badari atketelu nebge, a le lu giz ra apu etkoprida Ade ra baselaia bardari.
26Wanafunzi wake wakashangaa sana wakaulizana, “Ni nani basi, atakayeweza kuokoka?”
26Uiaba au geum, a mer atager, kega, Nete le umele ko eded?
27Yesu akawatazama, akawaambia, “Kwa binadamu haiwezekani, lakini kwa Mungu si hivyo, maana kwa Mungu mambo yote huwezekana.”
27Iesu uiabi dasmer, a detagereda, kega, Le nole umer kak abele, Ade umele, E umele gaire lu uridili.
28Petro akamwambia, “Na sisi je? Tumeacha yote, tukakufuata!”
28Peteru ditimeda ko abi detager, kega, Dasmer, keriba emetu dekaer keriba lu uridili, a mari narmili.
29Yesu akasema, “Kweli nawaambieni, kila mtu aliyeacha nyumba, au ndugu, au dada, au mama, au baba, au watoto au mashamba kwa ajili yangu na kwa ajili ya Habari Njema,
29Iesu detaut, kega, Ageakar kaka uabi detagereda, kega, Ese nerute le meta dekaer, a keimer giz, a berbet giz, a aba, a apu, a abara kosker, a uerem giz, a ged giz, karielam, a euangelia,
30atapokea mara mia zaidi wakati huu wa sasa nyumba, ndugu, dada, mama, watoto na mashamba pamoja na mateso; na katika wakati ujao atapokea uzima wa milele.
30Peirdi abele gerger, E iako egared uan handed meta, a keimer giz, a berbet giz, a apu giz, a uerem giz, a dordor ged, asiasi kemem; kerker ge niaiem eded aseamur kak ko egared.
31Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.”
31A gaire le kekiam ko keubu; a gaire keubu ko kekiam.
32Basi, walikuwa njiani kwenda Yerusalemu, na Yesu alikuwa anawatangulia. Wanafunzi wake walijawa na hofu, na watu waliofuata waliogopa. Yesu akawachukua tena kando wale kumi na wawili, akaanza kuwaambia yale yatakayompata:
32Uiaba Ierusalemaem gab ge ekasered; Iesu kekiam bakeam: uiaba damreda; a abi irmili geum. E iako gaire tuelf le tegared, a ditimeda ko uiabi detagereda abele gaire lu abim ko tabarki, kega,
33“Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa Sheria, nao watamhukumu auawe na kumkabidhi kwa watu wa mataifa.
33Dasmer, mi Ierusalemaem nogi; uiaba Le la Uerem emarik uiabim tarim giz, gaire zogozogo le, pako aotale giz; uiaba ko abim mer akesmur ko eumida, a uiabim gaire nogle nakuarare:
34Nao watamdhihaki; watamtemea mate, watampiga mijeledi na kumwua. Na baada ya siku tatu atafufuka.”
34Uiaba ko abi neg degarare, a abi damerik, a abi mos akeida, a abi ipit eumida; abele gerger thri, E iako eded akaida.
35Yakobo na Yohane, wana wa Zebedayo, walimwendea Yesu wakamwambia, “Mwalimu, tunataka utufanyie kitu tutakachokuomba.”
35Iakobo a Ioane, Zebedaio ra uerem giz, Iesuim tabarki, a detager, kega, Kole ae, ki laglag mama keribim ikeli abele lu ki lagelag.
36Yesu akawauliza, “Mnataka niwafanyie nini?”
36E uiabi detagereda, kega, Nalu lu ua laglag kaka uabim ikeli?
37Wakamjibu, “Uturuhusu tuketi mmoja upande wako wa kulia na mwingine upande wako wa kushoto katika utukufu wa Ufalme wako.”
37Uiaba abi detagereda, kega, Keribi dekuar ko keribi emri, nerute tuter pek, a nerute ber pek, mara zorom ge.
38Yesu akawaambia, “Hamjui mnachoomba! Je, mnaweza kunywa kikombe nitakachokunywa, au kubatizwa kama nitakavyobatizwa?”
38Iesu uiabi detagereda, kega, Uaba nole umer kak abele lu uaba damseda. Nako, uaba umele ko tanelu ereli kaka ko are? a bapataiso egared kari bapataiso?
39Wakamjibu, “Tunaweza.” Yesu akawaambia, “Kikombe nitakachokunywa mtakinywa kweli, na mtabatizwa kama nitakavyobatizwa.
39Uiaba abi detagereda, kega, Ki umele. Iesu uiabi detagereda, kega, Uaba ko tanelu ereli kaka ko are; a bapataiso egared kari bapataiso:
40Lakini ni nani atakayeketi kulia au kushoto kwangu si wajibu wangu kupanga, bali nafasi hizo watapewa wale waliotayarishiwa.”
40Epe ko emri kara tuter pek, a kara ber pek, nole kara dorge nakuar; mamoro uiabim emetu derser.
41Wale wanafunzi wengine kumi waliposikia hayo, walianza kuchukizwa na Yakobo na Yohane.
41Ten le asoli, uiaba ditimeda Iakobo a Ioane urker.
42Yesu akawaita, akawaambia, “Mnajua kwamba wale wanaofikiriwa kuwa watawala wa mataifa huwatawala watu wao kwa mabavu, na wakuu hao huwamiliki watu wao.
42Epe Iesu uiabi dabgerare, a uiabi detagereda, kega, Uaba umele uiaba tonar dikiapor sirdam gaire nogle, a uiaba kabdigili; a gaire aule uiabi sirdam.
43Lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.
43Nole mokakalam uabi dog: ese nerute le uabi dog laglag ko aule, debele E uaba memeg le:
44Anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.
44Ese nerute le uabi dog laglag kekiam, E memeg le uabim uridili.
45Maana Mwana wa Mtu hakuja kutumikiwa, ila alikuja kutumikia, na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi.”
45Mokakalam Le la Uerem nole tabarki memeg le taraisare, mamoro E uiabim memeg le, a abara eded nakuar ko eded bodomalam uiabim gaire le giz.
46Basi, wakafika Yeriko, naye Yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mwombaji aitwaye Bartimayo mwana wa Timayo alikuwa ameketi kando ya barabara.
46Uiaba Ieriko tabarki: Iesu a abara kaimeg giz kemem gaire le lakub osmeda Ierikolam, nerute le pone sademer gab deg emri, E lu damos, abara nei Baratimaio, Timaio ra uerem.
47Aliposikia kwamba ni Yesu wa Nazareti aliyekuwa anapita mahali hapo, alianza kupaaza sauti, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”
47E asoli abele Iesu Nazaretalam, E ditimeda ereretikri, kega, Iesu Dauida ra uerem, kari omare.
48Watu wengi walimkemea ili anyamaze, lakini yeye akazidi kupaaza sauti, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
48Dordor le abi daisumdarare ko baimilu: E elele ereretikri, kega, Dauida ra uerem, kari omare.
49Yesu alisimama, akasema, “Mwiteni.” Basi, wakamwita huyo kipofu, wakamwambia, “Jipe moyo! Simama, anakuita.”
49Iesu tekue, a detager, kega, Abi dabgeri. Uiaba sademer le dabgeri, a abi detager, kega, Saserimem: tekue, E mari dabgeri.
50Naye akatupilia mbali vazi lake, akaruka juu, akamwendea Yesu.
50E abara am uali adem, a tekue, a Iesuim bakeam.
51Yesu akamwuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Huyo kipofu akamwambia, “Mwalimu, naomba nipate kuona.”
51Iesu abi detaut, kega, Nalu ma laglag kaka marim ikeli? Sademer le abi detager, kega, Raboni ae, kara pone iako bakaerti.
52Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Mara huyo kipofu akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.
52Iesu abi detager, kega, Bakeam, ma eded mabi oatulam. E sobkak pone bakaerti, a Iesu irmili abele gab ge.
Tip: use the ← and → keys to turn chapters.