San Mateo
Chapter 16
Chamorro: Gospels, Acts …

Read in

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chamorro: Gospels, Acts and PsalmsChinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portionsFreedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)
vs Biblia Takatifu (S…

Compare with

Smith–Van Dyck Arabic Bible (فان دايك)Brezhoneg (Breton Gospels, 1827)Judson Burmese Bible (1840)Chinese Union Version, punctuated (Simplified)Chinese Union Version, punctuated (Traditional)Coptic New TestamentCoptic New Testament (Bohairic)Kralice Bible (1613)Testamenta Marra (Dieri New Testament)Petrus Canisius Bible, 1939 (De Heilige Schrift)Asang Khongca Bible (Eastern Khumi Chin, 2019)Berean Standard BibleDouay-Rheims Bible, American Edition (1899)King James Version with ApocryphaWorld English BibleLondona Biblio (Esperanto, 1910)Louis Segond 1910Lutherbibel 1912Greek New Testament, word by word (STEPBible TAGNT)Greek New Testament: 1904 Patriarchal Text (Byzantine)Greek New Testament: Byzantine Text (Robinson–Pierpont 2018)Greek New Testament: Textus ReceptusSBL Greek New TestamentBaibala Hemolele (Hawaiian Bible, 1868 revision)Modern Hebrew BibleDiodati Bibbia 1885Freedom Bible (フリーダム・バイブル)Korean Bible, 1910 (한국어 성경)Bible Mutal (Kosraean)Clementine Vulgate, 1598Baibal Olcim (Matupi Chin)Meriam Mir GospelsOld Persian Version (ترجمه قدیم)Kadede Kap (Pohnpeian New Testament and Psalms)Bíblia Portuguesa Mundial (Brazilian Portuguese)Cornilescu Bible (1924), Cyrillic scriptSynodal Translation (Синодальный перевод)Daničić–Karadžić Bible (1868), CyrillicReina-Valera 1909Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portionsFreedom Bible (Thai)Tongan Bible, Revised West VersionKulish and Puluj Bible (1905)Vietnamese Bible (1923 translation)Stop comparing
Aa
Text size
Line width
Verse numbers

San Mateo 16

Chamorro: Gospels, Acts and Psalms
Biblia Takatifu (Swahili): New Testament portions
1YA manmato y Fariseo yan y Saduseo sija, ya matienta güe, magagagao na ufanfinanue un señat gui langet.
1Mafarisayo na Masadukayo walimwendea Yesu, na kwa kumjaribu, wakamwomba afanye ishara itokayo mbinguni.
2Lao güiya jaope ilegña nu sija: Yanguin esta pupnenge y jaane, ilegmiyo: Mauleg na tiempo pago, sa y langet agaga.
2Lakini Yesu akawajibu, “Wakati wa jioni ukifika ninyi husema: Hali ya hewa itakuwa nzuri kwa maana anga ni jekundu!
3Ya y egaan: Pago uguaja pinagyo, sa managaga y langet ya didide na mapagajes. Jamyo tumungo jumusga y matan y langet; lao y señat y tiempo sija ti innasiña.
3Na alfajiri mwasema: Leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda! Basi, ninyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.
4Y taelaye yan adulterio na rasa jagueguefaliligao un señat, lao taya ufanmanae atgun señat, na y señat Jonas profeta. Ya jadingo sija, ya mapos.
4Kizazi kiovu kisicho na uaminifu! Mnataka ishara, lakini hamtapewa ishara yoyote isipokuwa tu ile ya Yona.” Basi, akawaacha, akaenda zake.
5Ya anae manmato gui otro bandan jagoi y disipuluña sija jajaso na manmalefa ya ti manmañule pan.
5Wanafunzi wake walipokwisha vukia upande wa pili wa ziwa, walijikuta wamesahau kuchukua mikate.
6Ya si Jesus ilegña nu sija: Atan, ya inadaje jamyo ni y lebaduran y Fariseo yan y Saduseo sija.
6Yesu akawaambia, “Muwe macho na mjihadhari na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
7Ya sija manmanjaso gui sanjalomñija, ilegñija: Buente pot y ti manmañulejam pan.
7Lakini wao wakawa wanajadiliana: “Anasema hivyo kwa kuwa hatukuchukua mikate.”
8Ya jatungo si Jesus, ilegña nu sija: Jafa jinasonmimiyo gui sanjalommiyo, taotao na didide jinengguenmiyo, pot y ti manmañule jamyo pan?
8Yesu alijua mawazo yao, akawaambia, “Enyi watu wenye imani haba! Mbona mnajadiliana juu ya kutokuwa na mikate?
9Ada ti intitingo, ni ti injajaso y sinco na pan, gui sinco mit, ya cuanto na canastra injeca.
9Je, hamjaelewa bado? Je, hamkumbuki nilipoimega ile mikate mitano kwa ajili ya wale watu elfu tano? Je, mlijaza vikapu vingapi vya makombo?
10Ni y siete na pan gui cuatro mit, ya cuanto na canastra injeca?
10Au, ile mikate saba waliyogawiwa wale watu elfu nne, je, mlikusanya vikapu vingapi vya mabaki?
11Jafa este na ti intingo, na ti pot y pan na jusangane jamyo? Lao inadaje jamyo ni y lebaduran y Fariseo yan y Saduseo sija.
11Inawezekanaje hamwelewi ya kwamba sikuwa nikisema juu ya mikate? Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
12Ayo nae jatungo na ti mansinangane sija na ujaadaje sija ni y lebaduran pan; lao y finanagüen y Fariseo yan y Saduseo sija.
12Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
13Ya anae mato si Jesus gui Sesarean Filipe, jafaesen y disipuluña sija ilegña: Jaye ilegñiñija y taotao sija nu y Lajin taotao?
13Yesu alipofika pande za Kaisarea Filipi, aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema Mwana wa Mtu kuwa ni nani?”
14Ya sija ilegñija: Guaja umalog na jago si Juan Bautista; ya guaja umalog, si Elias; ya guaja umalog, si Jeremias, pat uno gui profeta sija.
14Wakamjibu, “Wengine wanasema kuwa ni Yohane mbatizaji, wengine Eliya, wengine Yeremia au mmojawapo wa manabii.”
15Güiya ilegña nu sija: Ya jamyo, jaye ilegmimiyo nu guajo?
15Yesu akawauliza, “Na ninyi je, mwasema mimi ni nani?”
16Manope si Simon Pedro ilegña: Jago si Cristojao, y Lajin Yuus ni y lalâlâ.
16Simoni Petro akajibu, “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.”
17Ayo nae inepe as Jesus ilegña: Dichosojao, Simon, lajin Jonas; sa ti jufanuejao sensen ni jâgâ, na y Tatajo ni y gaegue gui langet.
17Yesu akasema, “Heri wewe Simoni mwana wa Yona, kwa maana si binadamu aliyekufunulia ukweli huu, ila Baba yangu aliye mbinguni.
18Ya guajo locue sumanganejao, na jago si Pedro; ya y jilo este na acho, jufatinas y iglesiamo; ya y pettan sasalaguan taeninasiña contra guiya.
18Nami nakwambia: wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala kifo chenyewe hakitaweza kulishinda.
19Ya junaejao ni y yaben y raenon langet; ya todoja y ungode gui tano, umagodeja locue gui langet; ya todoja y unpula gui tano, umapula locue gui langet.
19Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni; kila utakachofunga duniani, kitafungwa pia mbinguni; kila utakachofungua duniani, kitafunguliwa pia mbinguni.”
20Ayo nae jatago y disipuluña sija, na chañija fanmañangangane ni jaye na güiya si Jesus y Cristo.
20Kisha akawaonya wanafunzi wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo.
21Desde ayo na tiempo jatutujon si Jesus dumeclaraye y disipuluña sija, na guaja nesesidaña na ujanao para Jerusalem, ya upadese megae sija gui manbijo, yan y prinsipen y mamale sija, yan y escriba sija, ya umapuno, ya umanacajulo gui mina tres na jaane.
21Tangu wakati huo Yesu alianza kuwajulisha waziwazi wanafunzi wake: “Ni lazima mimi niende Yerusalemu, na huko nikapate mateso mengi yatakayosababishwa na wazee, makuhani wakuu na walimu wa Sheria. Nitauawa, na siku ya tatu nitafufuliwa.”
22Ya si Pedro, quinene güe ya tinitujon güe rineprende, ilegña: Señot, maase nu jago: este ti usiña jago.
22Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!”
23Ayo nae jabiragüe, ya ilegña as Pedro: Suja gui menajo, Satanas: jago un tropero para guajo; sa ti untungo y güinaja Yuus, na y güinajan taotaoja sija.
23Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, “Ondoka mbele yangu Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya mungu bali ni ya kibinadamu!”
24Ayo nae si Jesus, ilegña ni y disipuloña sija: Yanguin jaye malago dumalalag yo, polo ya upune namaesagüe, ya uchule y quiluusña ya udalalag yo.
24Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
25Sa jayeja y malago munalibre y linâlâña, ufinalingaeguan; ya jayeja y finalingaeguan ni y linâlâña pot guajo, güiya usoda.
25Maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza;
26Sa jafa probechoña y taotao, yanguin jagana todo y tano, ya y linâlâña malingo? Pat jafa na apas ufannae y taotao pot y linâlâña.
26lakini mtu anayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayapata. Je, mtu atafaidi nini akiupata utajiri wote wa ulimwengu na hali amepoteza maisha yake? Au, mtu atatoa kitu gani kiwe badala ya maisha yake?
27Sa y Lajin taotao, ufato gui minalog y Tataña yan y angjetna sija; ya ayo nae uapase cada uno taemano y chechoña.
27Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
28Magajet jusangane jamyo: na guaja palo gui mangaegue güine, na ti ujachague finatae, asta qui jalie y Lajin taotao na mato gui raenoña.
28Kweli nawaambieni, wako wengine papahapa ambao hawatakufa kabla ya kumwona Mwana wa Mtu akija katika Ufalme wake.”

Tip: use the ← and → keys to turn chapters.